Siku ya Vipimo Duniani

  • Tarehe ya Tukio: May 20, 2018 - May 20, 2018
  • Muda: 10:00
  • Mahali: NSSF Mafao House Ilala 8th Floor

Kila mwaka tarehe 20, Mei Wakala wa Vipimo huadhimisha siku ya Vipimo Duniani, ambapo kwa mwaka huu kaulimbiu ni Constant evolution of the International System of Units .