Questions Plugin
Search - Documents
Search - Categories
Search - Contacts
Search - Content
Search - Newsfeeds
Search - Weblinks
Search - Comments

Error
 • JLIB_DATABASE_ERROR_FUNCTION_FAILED

Tunu za Wakala

 1. Utendaji wenye matokeo
  - Wakala inajali utendaji wa matokeo zaidi.
 2. Timu ya pamoja
  - Wafanyakazi wa wakala wanatekeleza majukumu yao kwa pamoja, yaani kitimu.
 3. Kufikia matarajio ya mteja
  - Wakala mara zote inataka kufikia matarajio ya mteja katika huduma wanazotoa.
 4. Uwazi
  Mara zote wakala inatekeleza majukumu yake kwa uwazi kwa wateja wake wote wa ndani na uje.
 5. Uwajibikaji
  Wakala na wafanyakazi wake wana wajibu wa kutekeleza majukumu yake kikamilifu kufikia mafanikio ya malengo yake.
 6. Weledi
  - Wafanyakazi wa Wakala wanatumia taaluma zao mahiri na ujuzi wao kuhakikisha wanafikia mafanikio ya Wakala.

Kurasa Muhimu

Wasiliana Nasi

Afisa Mtendaji Mkuu
Wakala wa Vipimo 
Jengo la NSSF,(Mafao House),

Orofa ya Saba,Barabara ya Uhuru, 
S.L.P. 313, 
Dar es salaam, Tanzania.

Simu (+255) - 22 - 2203199 
Nukushi +255 22 2203200 
Barua Pepe: info@wma.go.tz

Mawasiliano Mikoani

Kalenda ya Matukio

Aprili 2017
J'pili J'tatu J'nne J'tano Alh Ij J'mosi
26 27 28 29 30 31 1
2 3 4 5 6 7 8
9 10 11 12 13 14 15
16 17 18 19 20 21 22
23 24 25 26 27 28 29
30 1 2 3 4 5 6

Kura ya Maoni

Waionaje Tovuti Yetu