Kurugenzi

Wakala wa Vipimo ina kurugenzi mbili;

  1. Kurugenzi ya Huduma za Biashara
    • Kusimamia kwa usahihi rasilimali za taasisi na kuhusisha matumizi ya Tehama kwa lengo la kutoa huduma bora na kuleta ustawi wa taasisi
  2. Kurugenzi ya Ufundi
    • Inashughulikia mambo yote ya kiufundi yanayohusu Vipimo